KARIBU KWA MJADALA: Ingawa Tanzania sio nchi iliyokua sana kiteknolojia lakini kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira vijana wengi wanaingia kwenye ajira za mtandaoni.
Tunashkuru kuna organisation zina push sana kuwaleta vijana kwenye remote work kama LP Digital na mengineyo.
Na kumekuwa...
Aisee shukran sana chief, kumbe zipo system mi nilijua haiko kabisa Tz
Kwani kuna private organisations ziko officially zinafanya hii
Kwa kenya niliona iyo moja inaitwa Afya pap ila bongo wengi wakianza zina fail
Kuna moja nimeiona juzi apa Afya chap, alaf kuna wengine wanaitwa medikea...
Boss huyo ni mdudu na anaweza sababisha magonjwa mbalimbali kutokana na sehemu ya mwili aliyopata nafasi ya kukaa, mpaka kumjua kuwa ni yeye basi watu wameshafanya kipimo cha culture na nadhani kwa kumalizia na sensitivity inaweza kuleta majibu sahihi ya dawa inayoweza tumika kumtibu kutokana na...
Nakaribisha mjadala kuhusu TELEMEDICINE {Tiba mtandaoni} huduma hii inafanyika Tanzania, ni akina nani wanafanya au haiko kwenye mifumo ya Tiba Tanzania.
Je, Tanzania inaweza nufaika na huduma hii kama ikianzishwa.
Mnavomsema jiwe ni kama hamuoni ujinga unaofanyika saivi pesa zinaliwa walaji wanaambiwa wale kwa urefu wa kamba zao hawawajibishwi wanaitwa wapumbavu tu na wanasonywa basi wakati walipa kodi hamtakiwi hata kufanya u machinga barabarani. Mnavoambiwa kwamba swala la Uhuru wa miiliyenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.