Recent content by pasati

  1. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Mshkaji kaelezea vema mpaka jamii inapata amasa kuwa na uthubutu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Pia ili utoke jiepushe na tamaa za starehe uwapo popotte kibiashara.
  3. P

    JamiiForums Tanzania M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

    Wamekiri CHADEMA ndio kila kitu mafisadi yote yanatamani kuomba usajili waingie CHADEMA na bado amani imewatoweka kuhusu 2015 watakwenda wapi na nchi washaiona iko mikononi mwa WAZALENDO CHADEMA. HONGERENI WATANZANIA KWA KUJITAMBUA!!!!!!
  4. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kuiteka Dar Jumapili.Ni hitimisho la M4C-OPD Jangwani...

    Wake up DSM, nenda jangwani kwa utulivu usikilize kwa umakini ili uweze kuijua nchi na haki zako.
Back
Top Bottom