Habari zenu jamani,mimi ni Mgeni humu ,kuna jambo nataka niwashirikishe labda na nyie mtalichukuliaje?.kuna dada mmoja anaishi na Baba yake Mzazi na Mama wa Kambo,Maisha yake yote yalikuwa ya mateso kutoka kwa Mama wa Kambo,lakin ialivumilia akafika Chuo huyo Mama akafanya Fitina waKamfukuza...