Recent content by paranawe

  1. P

    JamiiForums Tanzania ungekuwa wewe ungefanyaje/

    Yawezekana ni kweli alikuwa nazo, isipokuwa ukumbuke saa aliyokupangia mungu ikifika, hakuna awezaye kukuongezea hata chembe ya dk.Hivyo dogo kubali yaishe!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Maamuzi magumu: Zambia v/s i/coast

    mechi imeisha namwita "mtani" azime king'amuzi chake na afunge geti nirudi uswazi sipati jibu, natingisha kitasa astuke wapi, mzee yupo safarini, au nimpigie simu amumshe mkewe? Noma. Natweta, saa nane usiku hiyo. Uamuzi mgumu: Potelea mbali nafungua mlango wa chumba cha "mtani", taa inawaka...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hodi jf

    Nimefurahi kujumuika nanyi wana-JF.
Back
Top Bottom