Recent content by Papuan citizen

  1. P

    Kwanini Afrika tunashadadia Mapinduzi ya Kijeshi?

    Kwa kweli Afrika sijui niseme nini, sasa hata kule Niger ECOWAS itazidi kupata kigugumizi cha kuwaondoa wale wanajeshi waliopindua serikali halali. Na hakuna ushahidi wanajeshi wataleta neema wananchi wanayodhani wataipata. Ni sawa tu na nchi nyingine kama Kenya, Tanzania nk. ambazo wananchi...
  2. P

    Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

    So sad! Inakuwaje lakini jamani mtu unamuajiri mtunza mifugo wakati hujui background yake wala atokako, miezi 5 yote walishindwa kufika kwao kupata ukweli inamaana walikuwa hata hawafahamu mtuhumiwa anatokea wapi. Tuchunguze kwa kina asili ya wale tunaowapa dhamana katika familia zetu
Back
Top Bottom