Recent content by Papatu-Papatu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri wa kununua used Toyota Land Cruser

    Nashukuru mkuu asante
  2. P

    JamiiForums Tanzania Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

    Hii ikoje mkuu?? mafuta na spare zake kulinganisha na hizo VX & VXR or ZX
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri wa kununua used Toyota Land Cruser

    NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX. Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000. Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Nashukuru mkuu kwa madini haya. Naweza kupata hiyo website ya kucross check hizo details
  5. P

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Huu ni ujinga wa kiwango cha lami! Unawezaje kuuza gari wakati huwezi kuensure wateja wako wanapata nini? Mimi hayo mengine mimi sijui najua ni Be forward kama wao wanadeal na matapeli huo ni uzembe wao. Hii issue nitaenda nahyo mbali
  6. P

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Naomba namba zao za wazap mkuu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Nitashukuru mkuu asante sana
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Yaani wameshatupangia jinsi ya kuwa maskini na hata furaha kidogo tunayotaka kuipata kupitia mpira wanataka pia kutupangia jinsi ya kusherehekea. Hivi unawezaje kulazimisha watu wawe wazalendo?? uzalendo ni kuvaa au kutokuvaa jezi kweli??
  9. P

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Nashukuru sana mkuu ngoja nifuatilie hili
  10. P

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Nashukuru mkuu, nitatfuta SBT na TCV nione option zake. Je hao wana ofisi hapa TZ?? Maana Be forward wapo Kariakoo na Posta na baadhi ya mikoa, ila huduma zao ni mbaya sana. Inasikitisha
  11. P

    JamiiForums Tanzania Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Ndugu yangu.....nimezunguka gereji nyingi, inaonekana hizi version zinawasumbua mafundi wengi. Kila mtu anasema lake, mpaka nimenunua gear box mpya 800,000 na bado gari haijapona! Ndio maana nikaona labda niende Toyota Tanzania. Kama kuna fundi anaweza niashukuru
Back
Top Bottom