Recent content by PapadoupolousTz

  1. P

    Nape Nnauye: CCM tunapinga Uwepo wa Serikali Tatu.

    Tatizo ni kwamba kuna comment ni kama vile watu wanaandikiwa vi note waje JF wapost. Du! umizeni vichwa, fanyeni utafiti wa kila wazo kumbukeni JF sio FB jamani..........
  2. P

    Nape Nnauye: CCM tunapinga Uwepo wa Serikali Tatu.

    Jamani: Kama suala ni kuwa na FIKRA PEVU ni vema pia kuheshimu utashi wa wengine ili nao waheshimu utashi wako. si dhani kama ni lazima sana kuwa uniform katika masuala yote. Take care!
  3. P

    Hivi CHADEMA mmeshawahi kusema mtawafanyia nini watanzania?

    CHADEMA: chama kinachoamini katika ubabe, umafia na unyama. But kwa Tanzania hii sidhani kama iko siku CDM inaweza kuwa Ikulu kwani sasa ----- uliomwagwa pale kamati kuu ya CDM unazidi kuwawasha na sasa Lisu anaamini ndiye MWenyekiti mtarajiwa wa CDM. Hii sasa kali
  4. P

    Hivi CHADEMA mmeshawahi kusema mtawafanyia nini watanzania?

    "Kama Yesu alivyosulibiwa msalabani akafa na kufufuka, wakristo wakapata ukombozi; ndivyo nawatuma na ninawasisitiza wanawake na vijana wa nchi hii (Tz), tusiogope kufa na kumwaga damu kama Yesu ili tuikomboe Tz" Du! HUO NI UPOTOSHAJI MKUBWA NA USHAHIDI KWAMBA DR SLAA SIO MZALENDO KABISA"
  5. P

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kwa kweli baada ya kuchukua muda kuliangali upya baraza jipya la mawaziri na baada ya kuangalia kwa kina uteuzi wa Rais Kikwete. Nimeona kweli Rais JK ameteuwa mawaziri wachapa kazi na kwa hilo NAMPONGEZA SASA JK. cha msingi sasa ni PM kuwasimamia vema na kuendelea kuwawajibisha mawaziri...
  6. P

    Madiwani wapendekeza kuigawa Mbeya

    Ndugu Watanzania na wazalendo. Mnamo tarehe 1/5/2015 katika sherehe za Mei Mosi Rais Kikwete alitangaza kuruhusu kugawa Mkowa wa Mbeya. King'anganyiro hiki kimeanza hukuwa Wanyakyusa wakidai Mkoa mpya uitwe Rungwe na Makao Makuu yawe Tukuyu. Huku Wana Mbozi wakidai Mkoa Mpya uitwe Songwe na...
Back
Top Bottom