Big-up Zitto, Hiyo yote inatokana na kutambulika kwako kuwa na uwezo wa kusoma, kuchambua na kuchanganua issues kimakini zaidi. Wabunge wengine muwe mnajifunza kutoka kwa huyo dogo kwa jinsi anavyo tumia muda wake jijenga kimaarifa
Ushauri wa bure kwako na huyo Nape aliyokuandikia hiyo CV chovu:
1. Mkajifunze jinsi ya kuandika CV
2. Unatoa usifa wa matokeo ya darasa la saba, mbona kimya kwa matokeo ya form 4 na 6 kama ni masafi kweli?
3. Popote pale ukiona mtu mwenye vyeti vya kuunga unga level moja (diploma-diploma) huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.