Recent content by Papaa Oskido

  1. Papaa Oskido

    Gazeti la Mawio acheni kuweweseka na propaganda zenu hizo

    Acha uboya na uvivu, nenda kasome hilo gazeti yani kuanzia page ya kwanza mpaka mwisho ni kumkejeli magufuli tuu, sasa hili ni gazeti au udaku na umbea tuu?
  2. Papaa Oskido

    Gazeti la Mawio acheni kuweweseka na propaganda zenu hizo

    Utanielewa tu wewe kilaza
  3. Papaa Oskido

    Gazeti la Mawio acheni kuweweseka na propaganda zenu hizo

    Waambie mabwana zako wa MAWIO kama wanasema imevuja wao ndo waiweke orijino tuione sio kuleta porojo zao hapa
  4. Papaa Oskido

    Gazeti la Mawio acheni kuweweseka na propaganda zenu hizo

    Hili la MAWIO limezidi lkn kila mtanzania anajua haya yote ni kwasabu ya RAIS WAO LOWASSA KUKATWA URAIS 2015 HAHAHAHAHAHA
  5. Papaa Oskido

    Gazeti la Mawio acheni kuweweseka na propaganda zenu hizo

    TZ DAIMA NA MAWIO yao mamoja hivi vyote ni visa vya Rais wao wa UKAWA kukatwa
  6. Papaa Oskido

    Gazeti la Mawio acheni kuweweseka na propaganda zenu hizo

    Acha uvivu nenda kasome ujionee uozo uliopo ndani ya hilo gazeti
  7. Papaa Oskido

    Gazeti la Mawio acheni kuweweseka na propaganda zenu hizo

    GAZETI LA MAWIO LA LEO ALHAMISI 12/11/2015 LIMEJAA MAKALA ZA KUMKEJELEI RAIS WETU MPYA. MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, MFANO WA HEADLINE MOJA ILOANDIKWA NI "MAGUFULI ATIKISWA" Ukiisoma hii habari utagundua ama kweli UKAWA na timu yake wanaweweseka, maana imejifanya kusema kuwa eti Hotuba ya...
  8. Papaa Oskido

    Bila umoja tunatwanga maji kwenye kinu, Hiyo nayo ni kazi?

    HIVI INAKUJA AKILINI KUANZA KUDAI AHADI ZA RAIS NDANI YA SIKU 6? KAMA SIO WIVU KITU GANI? Haiji akilini kuanza kutoa lawama kwa viongozi wa nchi na hasa kwa huyu Rais wetu tena Rais wa watu wote hususani kuhusu ahadi alizozitoa kupitia ILANI YA CHAMA CHAKE CHA CCM ikumbukwe ya kwamba kipindi...
  9. Papaa Oskido

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Mtu wa namna hii asiyeweza free style kwenye mahojiano hatufai kuwa rais, haiwezekani kila anapokutana kwa ajili ya mahojiano anatembea na kitini cha kufanyia chabo, hahahah aibu hiyo mzee wa mamvi. Mwaka huu utaisoma namba baba, kusanya vyako urudi kwenu monduli, umebakiza siku 3 tu urudi kwenu...
  10. Papaa Oskido

    Marekani wanamkubali Dr. Magufuli, cheki picha hii

    Kojoa ukalalwe kenge weee
  11. Papaa Oskido

    Marekani wanamkubali Dr. Magufuli, cheki picha hii

    source: google
  12. Papaa Oskido

    Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Chanzo: Raia Tanzania
  13. Papaa Oskido

    Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    WANANCHI WA TUNDUMA WAMEAPA KUTOWAPA KURA TENA UKAWA KUTOKANA NA MADAI KUWA WAMEKUWA WASANII NA WABABAISHAJI, JANA WAKADANGANYA KUWA VIPAZA SAUTI VIBOVU WAKATI HUO HUO MBOWE ALIKUWA ANATUMIA VIPAZA SAUTI HIVYO HIVYO, SASA HUU SI UONGO WA MCHANA KWEUPEEE?? SASA WAMEAHIDI KUWA HAWATAWAPA KURA...
  14. Papaa Oskido

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Mwehu wewe huna akili, umelazimishwa kuja? We ndo msemaji wa wananchi, kenge weee
  15. Papaa Oskido

    Mgao wa umeme ukiendelea, Simbachawene kutoteuliwa Cabinet ya Magufuli!

    wewe na baba yako ndo waongo, unakula unasafiri kwasabu ya pesa za ccm acha porojo zako wewe
Back
Top Bottom