Recent content by Papaa maglas

  1. P

    Tangazo la nafasi ya Kazi: Meneja wa Mgahawa na Lodge - Kibaha

    Meneja ni msimamizi wa kila kitu kwenye ofisi, na Kama hujui wenye fani zao wanapenda uwaachie kila kitu. T
  2. P

    Tangazo la nafasi ya Kazi: Meneja wa Mgahawa na Lodge - Kibaha

    mshahara ni Siri ndugu Kati ya Mwajiri na mwajiriwa. Wewe unajua mshahara wa Polisi?
  3. P

    Tangazo la nafasi ya Kazi: Meneja wa Mgahawa na Lodge - Kibaha

    Umeambiwa laki tatu ndugu? Kama kitu sio fani yako nibora ukanyamaza. Wenye fani zao wanajua nini chakufanya.
  4. P

    Tangazo la nafasi ya Kazi: Meneja wa Mgahawa na Lodge - Kibaha

    Mwajiri: Triple E Lounge and Lodge Mahali pa Kazi: Kibaha Maili Moja, karibu na eneo la Loliondo, Mkoa wa Pwani Nafasi: Meneja wa Mgahawa na Lodge Aina ya Ajira: Ajira ya kudumu (Full-time) 1. Kuhusu Triple E Lounge and Lodge Triple E Lounge and Lodge ni kituo kipya cha huduma za malazi...
Back
Top Bottom