Recent content by pansophy

  1. pansophy

    JamiiForums Tanzania LUKU hainunuliki, TANESCO tatueni kero hii

    Maharage Chande na Januari Makamba mzigo umewashinda. Luku hainunuliki muda huu na taarifa hamtoi, hili shirika la umeme sio hisani ni haki yetu
  2. pansophy

    JamiiForums Tanzania DStv mnatutapeli na ofa yenu ya kupandishwa kifurushi

    Sasa ni mendoza wa Netflix na Startimes
  3. pansophy

    JamiiForums Tanzania DStv mnatutapeli na ofa yenu ya kupandishwa kifurushi

    Same scenario mtaalam
  4. pansophy

    JamiiForums Tanzania DStv mnatutapeli na ofa yenu ya kupandishwa kifurushi

    DStv Tanzania mmeamua kutuibia waziwazi au watu wenu wa huduma kwa wateja hawajui wanafanya nini. Nimewapigia simu kabla sijanunua kifurushi wakanihakikishia ya kuwa ntapata kifurushi cha juu yake badala yake wakaanza kuleta stori ya kuwa kifurushi kilikuwa upgrade kutoka January. Kama kuna...
  5. pansophy

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia juzi siasa zinatimiza kauli ya 'hela zinawatembelea wenye hela, aliyenacho ataongezewa'

    Sitashangaa kuona zaidi ya 40% ya walioongoza katika kura za maoni kupinduliwa
  6. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    jopss, Shukrani sana mtaalam kwa majibu yako maridhawa. Ntashukuru kama nitaweza kupata mawasiliano ya mawakala wanaotambulika.
  7. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Hawana huo utaratibu
  8. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Nataka Jericho 941 hapa hawana
  9. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    nataka kuagiza kutoka nje ya nchi, haya maduka hawatoi maelekezo ya kutosha namna ya kuingiza
  10. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Hauwezi kufanya taratibu bila kuwa na namba ya bastola na aina. Nataka kujua nikinunua nani anakuwa custodian wa silaha yangu mpaka hapo ntakapo kamilisha taratibu za kiserikali
  11. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Link ingeweza kuwa msaada tosha
  12. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    nataka kufuata taratibu za nchi, changamoto hakuna sehemu ambayo wanatoa maelekezo ya kutosha
  13. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    sina hamu ya kugombana na JAMHURI
  14. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    utaratibu wa kumiliki naufahamu, tatizo hauelezei namna ya kuingiza kutoka nje ya nchi. Kitu ninayotaka haipo kwenye maduka yetu ya ngome ya tanganyika arms
Back
Top Bottom