Recent content by Panizo

  1. Panizo

    Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

    amenunua au tozo zinafanya kazi
  2. Panizo

    GE2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    yani ndugu yangu utaratibu unajulikana huo why now kipind cha JPM mbn kipindi cha JK kulikuwa hakuna utaratibu..ni hivi labda kama mwenzetu umefanikiwa kupanda ila siyo issue ya elimu inawahusu wahasibu na vyuo hasahasa ila wengine wote ni degree au diploma..ila issue ya mkopo hauiongelei wala...
  3. Panizo

    GE2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    Wafanyakazi ambao hatupandishwa madaraja yetu kwa haki..wala hatujaongezewa mishahara tangu kipindi cha JK au watumishi gani unaongelea tuliopandishiwa na bodi ya mikopo kutoka 8 mpk 15 asilimia na retantion fee ya aslimia 6..... labda kama ww ni mtumishi wa kuteuliwa
  4. Panizo

    GE2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

    shida moja kubwa sana kwa wafuasi wa vyama kuna kusema eti waliojiandikisha ni wana CCM hii ni dhana mfu kabisa kura ni siri ya mtu ni kama wajumbe halafu hiki ni kizazi kipya siyo kizazi cha kidumu fikra za Mwenyekiti ndiyo maana tangu kikwete ashinde kwa asilimia 80..CCM iliendelea kushuka...
  5. Panizo

    GE2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

    shida wanafikiri tupo zama vita baridi na propaganda labda kilichobakia ni kuiba kura nothing more nothing less
  6. Panizo

    GE2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

    sasa mtoa mada anasema sheria ya asilimia 4 imetungwa na serikali ya Magufuli..labda kama anataka kupotosha hii ni sheria ya muda mrefu ipo tangu kipindi cha Kikwete..pia hiyo mikopo siyo kuwa wanapata yote ni mpaka ikiwa lengo la makunyanyo ya ndani limetimia ndo wanaweza kupata.na mara nyingi...
  7. Panizo

    Natufuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi mimi nipo Geita

    ahahahhahahahhah amna nataka nisome karibu na vyuo
  8. Panizo

    Natufuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi mimi nipo Geita

    Kama kichwa tajwa hapo juu.mimi ni mtumishi wa serikali idara ya mipango nipo geita mjin natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi awe Dodoma, Morogoro, Dar es salaam au Pwani.kama upo tayari ni pm.
  9. Panizo

    Natufuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi mimi nipo geita

    Kama kichwa tajwa hapo juu.mimi ni mtumishi wa serikali idara ya mipango nipo geita mjin natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi awe Dodoma, Morogoro, Dar es salaam au Pwani.kama upo tayari ni pm.
  10. Panizo

    GE2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

    Kingunge '' nguvu ya kuzuia ma​badiliko ni kubwa,ila nguvu ya kutaka mabadiliko ni kubwa zaidi''
  11. Panizo

    GE2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

    mwaka huu mkoa kwa mkoa,wilaya kwa wilay, jimbo kwa jimbo,kata kwa kata,tarafa kwa tarafa,kijiji kwa kijiji,nyumba kwa nyumba, kituo kwa kituo,tume kwa tume.....Mpaka #MABADILIKO YATIMIE....bampa kwa bampa.....MPAKA MAGAMBA YAOMBE POOO....mtu kabakiza siku 9 ofisini alafu analeta...
  12. Panizo

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Daaa asanten Mara... Mpo imara na hamtetereki... Na mm ngoja nikaangalie mchinjio wangu nikaufute vumbi na kuunoa ntaenda kuchinja mida ya saa kumi kasoro ili mchezo mchafu wowote usitokee na kusogea mita mia mbil..... Na kuupload matokeo ya kituon kwangu... Ntachinja bila ganzi... Ewe mwenyezi...
  13. Panizo

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Mhhhh yaniii ni shidaaaa... Kupoteza Muda tuuuu uku.. Uchaguzi wa urais umeshaisha NEC wajikite kwenye ubunge na udiwan...... White hair white house.... Viva Lowassa...... Kwel nimeamini watu ufuata majira na siyo majira ufuata watu... Edo hachafukiki na wala hazuirik.... When God says yes no...
Back
Top Bottom