Wakuu,
Katika kuhakikisha tunapambana na ufisadi unaolitafuna taifa, kuna wengine hugeuka mbuzi wa kafara.
Ningependa kuwapa hadhari kubwa hawa wafuatao kwakuwa wapo kwenye hatari zaidi. Hatari hii itapungua (haitaisha) baada ya ripoti kusomwa Bungeni lakini baada ya hapo kuna watakaoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.