Nahitaji kufanya kilimo cha umwagiliaji ila naomba kupewa ufafanuzi wa mazao yanayofaa kulima na soko lake halina usumbufu na mkoa upi unagharama nafuu kwa nyanja zote machine ninayo ya kumwagilia nawakilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.