Recent content by pangakali 2

  1. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa kuku chotara

    Kwa mwenye uhitaji wa kuku wa chotara karibu sana wadau tuinuane tunapatikana Dar es salaam. Kuku wana umri wa miez 2 na wiki 2 kwa tarehe ya leo 06 May 24. Wapo zaidi ya 500. Kwa mawasiliano zaidi 0786390108
  2. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Wadudu wanaofukua udongo

    Habarini wanajamvi. Nimekua nikisumbuliwa na wadudu wanaofukua udongo na kutengeneza mashimo kiasi ambacho jiran yangu ukuta wa nyumba yake umebomoka kwa kutitia, maana wale wadudu wanafukua chini kwa chini. Mwenye Suruhisho la tiba ya jinsi ya kuwadhibiti hao wadudu anisaidie plz kabla...
  3. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Corolla Rumion For Sale

    Upo sahihi. Coz ni mawazo yako siwez kuyapinga kama mm mwaka jana nimeagiza hadi kuifikisha ilinigharim 18 na point ndio iwe sasa upate kwa 16 m sio rahisi labda zile zenye km laki 2
  4. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Corolla Rumion For Sale

    Ina miezi 8 toka nimeinunua njoo whatsap nitakutumia kila kitu haijatembea zaidi ya km 10,000.
  5. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Corolla Rumion For Sale

    Makosa ya kimaandishi. Ndio maana msg ya pili unaona nimeifuta hio CIF
  6. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Corolla Rumion For Sale

  7. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Corolla Rumion For Sale

    TOYOTA COROLLA RUMION Color: BLACK Mileage: 58800 km Steering: Right Transmission: AT General Fuel: GASOLINE Drive System; 2WD Doors: 5DD Displacement: 1490cc CIF PRICE; 16 m Music system: Android Contact: +255755906255 Whatsp
  8. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa madonda koo (Tonsels)

    Habari za jion wadau. Naomba nitumie nafasi hii kutoa mrejesho kwa swala la Tonsils kwa watoto wangu. wamefanyiwa opereshen kwa tarehe tofauti na alhamdulillah Mwenyez Mungu ametujaalia zoezi limekwenda vyema na sasa wanaendelea vizuri sana. Wakubwa imani za kiswahili kwamba mtoto ukimpa vitu...
  9. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Bei ya mti wa mnazi

    Sijaelewa kidgo umesema bei ni kias gani? Sabab ya kuukata ni kwa sabab ulikua eneo ambalo alikua anataka kujenga ukuta kwa hio ili ukuta unyooke ilikua lazima pia mnazi ukatwe
  10. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Bei ya mti wa mnazi

    Wakubwa habari za majukum. Kumekuwa na mgogoro mkubwa kwa majirani zangu ambao wanagombania mti wa mnazi mkubwa ambao ulikua unauwezo wa kuzalisha nazi. Jirani mmoja kati yao akaamua kuukata huo mnazi mwisho wa jirani wa pili amefika na kugundua kuwa mti wa mnazi umekatwa na kuzua taharuki ya...
  11. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa madonda koo (Tonsels)

    Nimehangaika nazo sana kibaya zaidi dokta aliniambia kwa watoto zinaweza kupelekea ugonjwa wa moyo au kupoteza uwezo wa kusikia kwa mtoto wa kwanza alishaanza kuwa na tatizo la usikivu ndio maana nazid kuvurugwa
  12. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa madonda koo (Tonsels)

    Nashukuru sana mkuu kwa maelezo yakinifu. Kwa mm mwenye approx 34 haifai kuziondoa kwa opereshen? Maana nilitaka niungane na wanangu ili sote tuondokane na hizi changamoto
  13. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa madonda koo (Tonsels)

    Watoto ni kazi sana kuwa control katika hilo swala maana unajitahidi nyumban kumbana akifika shulen anakutana na watoto wenzie wanampa anatumia.
  14. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa madonda koo (Tonsels)

    Mtoto wa umri gani hasa ? Maana wa kwangu mmoja ana miaka 7 mwingine 3 na wote wanapitia changamoto ya aina moja
  15. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua taratibu za kuomba mkopo benki kwa dhamana ya nyumba

    Nenda bank husika ukiwa na picha ya nyumba yako utapewa maelekezo. Angalizo kuwa makini mkopo usije fanya nyumba yako ikauzwa kwa hasara. Nmb wapo faster nenda tawi lolote hapo ilala watakupa maelekezo
Back
Top Bottom