Recent content by Pandora box

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

    Mungu anasema hata kama unasali ukaona nyoka anakufuata ama mtu anakuja kukudhuru, katisha sala ujihami kwanza. Hakusema atakulinda uendelee. Kwahiyo, tahadhari ni muhimu ktk maisha yako ya kila siku, usisubiri miujiza.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

    Kwa muktadha wa masuala ya ulinzi, hiyo haina shida katika imani. Kinachoangaliwa ni nia.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wote wangefanya kama anachofanya Makonda tungekuwa mbali

    Kwahiyo tutegemee nini labda? Tell other way around
Back
Top Bottom