Kwa style hii bado safari ya kutoka kwenye umaskini bado ni ndefu sana. Mimi nimependa huyo aliyesema mkatafute pesa. Sasa wewe mwenye kutaka title aende akafanye official search wizarani atapata mmliliki. Anayetaka picha za ndani aje atapata ni pint or two. Ila tafute pesa wadogo zangu acheni...
Huyo jamaa hana hata aibu jamani. How can you lie like that. Tena picture yenyewe kapiga kwa woga kwa mbalii kama mwizi. Si ungegonga getini tu mzee ukaomba kupiga picture nzuri kama hii? Pumbafu sana huyu jamaa. Siju watu kwa kusema uongo wanalipwa na nani au wanawashwa tu?
Jamani nimeona niseme neno. Mimi huwa ni msomaji nzuri wa Jamii forum japokuwa sio kila siku lakini angalao japo kwa week mara 2 au tatu. Ila niseme pia sio mtu wa kuchangia sana mada humu. Leo baada ya kuona hili kwa kweli nimeona itakua dhambi kukaa kimya.
Hii nyumba inayoonyeshwa sio Mali ya...

Jamani mwaka mmoja na nusu hivi uliyopita hakuna redio niliyokua naipenda kama clouds FM, gari yangi ilikua na default setting ya 88.4 lakini sasa hivi hakuna kitu kinanikera kama 88.4 hasa muda ule anapoingia huyu mtu anaayehisi kila jambo analijua bwana Efraim Kibonde. Hata kama mtu ni mwelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.