Tulishajaribu kupata ushauri wa kitaalam hospital ila wanasema yawezekana wakati anazaliwa alilia kwa muda mrefu may be inaweza ikawa chanzo na kusema itaishaga tu, lkn naona now ni 2 yrs no changes, ndo nikaona nije humu
Kuna dawa moja ya matunda ya apple za kijani 12, mafuta ya zaituni na juice ya limao nusu glass, yaani siku ya kutumia hiyo dawa mgonjwa hatakula chakula chochote zaidi ya hizo apples za kijani tu, asubh atakula apple 4, mchana pia 4 na uck ndo anamalizia apple Baki pamoja na kunywa nusu glass...
Administrative law hiyo! Hiyo seneti iliwaita wote hao 162 kwa notisi kwa ajili ya defence? Pamoja au mmoja mmoja,... principle za natural justice zimefuatwa? Kama vile Rule against bias, Audi alteram paterm, Nemo judex in causa sua? Au wameamka tu wakawafuatia huko huko...yasije yakatokea Kama...
Injunction inafanyika pale ambapo jambo linaendelea na bado halijatolewa maamuzi, means linatakiwa lizuiwe ili lisije kuathiri haki ya mtu hapo baadae baada ya maamuzi/judgement...linaweza fanywa au kuombwa ktk mahakama yoyote kutokana tu na Jambo lako linahusu nini, au hata ktk...
Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.