Waheshimiwa,
Mimi ni baba wa watoto wawili ni mfanyakazi na nimeoa pia. Mzee wangu pamoja na utu uzima alionao aliingia kwenye penzi zito na secretary wake maana ana kampuni yake binafsi inahusika na consultation ya accounts, auditing, risk na tax. Baada ya kuanza mapenzi na huyo secretary wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.