OPPORTUNITIES
PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS IS LOOKING FOR SALES FORCE EXECUTIVES ALL OVER #TANZANIA
Pan Oceanic Insurance Brokers ltd started operation in January 2002
We are an established business with a rich 20-years history, focus on modernizing insurance sales and customer service by...
Tafadhali msaidie kupeleka malalamiko yake kama nilivo eleza atasaidiawa.
Ndugu kama policy yako inaruhusu withdrawal lazima ulepwe.
Na kama Bima ya Jamaa yako iva anastahiki kulipwa haraka. Kwanini anacheleweshewa ? Msaidie kupeleka malalamiko yake kwenye Jumuiya na TIRA . Wapo wachache wanao...
shankal Mc cane
Ukisoma maelezo vizuri nimeeleza Kampuni za Insurance haitakiwi kuchelewesha malipo ya madai yalio kamilika. Sheria inamlinda mteja na pia kuna Ombudsman Commettee inayo shughulika na malalamiko ya madai.
Ushauri mwengine ni kutumia Brokers kwa mahitaji yako ya bima . Broker ni...
Nini Bima ya Maisha?
Watu wengi wanaona tabu kuongelea kifo lakini ukweli kifo ni jambo moja ambalo hatuwezi kulikwepa ni lazima. Siku na tarehe ya kifo hakuna anae jua lini kitamtokea. Hivo katika Maisha yetu haya tunapaswa kujitayarisha na kifo. Tunatakiwa tujiulize jee nikiondoka leo Watoto...
Mc cane
Asante kwa Masuali yako na tunapenda kukujibu kama ifuatavyo:
1. Ni kweli kwenye Soko la Bima Kulikua na Mawakala wengi ambao hawana utaalam wa Bima na wasio fata Miiko ya Kazi zao. Mwakala hawa wengi waliajiriwa kiholela na Insurance Companies ambao ndio Wanao toa Bima...
Tutakua tunatoa elimu ya Bima kwenye ukurasa huu wetu.
Na kuanzia 23 January tuta anza na bima ya maisha.
Tupe maoni yako njia bora ya kuwasilisha elimu hii ya Bima.
Pia tutapokea na kujibu masuali yenu
Karibuni.
Nini Bima ya Maisha?
Watu wengi wanaona tabu kuongelea kifo lakini ukweli kifo...
Get more than just insurance with Pan oceanic insurance brokers Ltd.
Introducing Pan oceanic Loyalty Program -
Spend less on your leisure and corporate affairs with
discounted prices on Restaurants, Car hire, Car wash & Services, Tyre purchases and more only with Pan oceanic loyalty program...
OPPORTUNITIES
PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS IS LOOKING FOR AGENTS ALL OVER #TANZANIA
We are an established business with a rich 18-year history, focus on modernizing insurance sales and customer service by providing our team with the best and most up to date technologies
Be your own boss and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.