Recent content by Pamputi

  1. Pamputi

    Ado Shaibu amshtaki Rais Magufuli Mahakama Kuu kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    wamekurupuka ,wangesoma ibara ya 59(2) Ambayo inabidi isomwe pamoja na masharti yapo katika ibara ya 109 (8) na 109 (9) ya katiba ya Tanzania
  2. Pamputi

    Kushiriki usafi Jumamosi ya kwanza ya mwezi ni lazima kisheria?

    Kama kuna infringment ya haki zako unaruhusiwa kwenda kuichallenge hii sheria kama ambazo alifanya Ezekiah Oluoch katika kesi yake dhidi ya Waziri wa mazingira kuhusu siku hii ambapo alishinda kesi.
  3. Pamputi

    Kushiriki usafi Jumamosi ya kwanza ya mwezi ni lazima kisheria?

    Hii ni GN no.139 of 2016 iliyotolewa na waziri ofisi ya makamu wa rais mazingira na muungano kuifanya kila jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya usafi sasa sijajua Makonda kaingiaje katiak mjadala huu ??
  4. Pamputi

    Wagombea Ubunge CCM hawafai wamevunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano, kuwachagua ni kuridhia uvunjifu huo

    "Constitution is a living document with a soul and consciousness as reflected in the Preamble and Fundamental Objectives and Directive Principles of State Policy. It should not be crippled by technical or narrow interpretation." Ishengoma Francis Ndyanabo v. Attorney General Civil Appeal No. 8...
  5. Pamputi

    Ally Bananga: Mwanasiasa Anajengwa na Watu, Sitashiriki Mjadala wa Star Tv

    inabidi tuanze sasa kuamini kwamba upinzani na wapinzani wa tanzania sasa hawana hoja ya kusimamia na ndo maana si ajabu kuanza kukimbia mijadala ya wazi kwa sababu in fact hakuna sababu ya msingi ya Bananga na heche kukimbia mjadala wa wazi kwa kigezo cha matakwa ya wengi bila hata kujustify...
  6. Pamputi

    Bunge lichunguze madai ya kulazimisha wenye maduka Mlimani City watoe discount na kubandikiwa picha za Makonda

    kwani na wewe una duka pale mlimani city au umekosa cha kuongea humu jukwaani?? naona Paul C Makonda anazidi kuwapagawisha wafipa mmebaki kucheza kilaa mdundo wa ubunifu wake poleni sanaaa
  7. Pamputi

    Je, upinzani ukifa ikabaki CCM peke yake kuna faida gani?

    Maendeleo ni progressive sio kulala na kuamka. Katika hiko kipindi cha 1961-1992 yalifanyika mengi ambayo ni kiashiria cha wazi cha maendeleo ambayo kuanza kuyaandika hapa hayatatosha. By the way ni kipi chama cha upinzani cha urusi ?
  8. Pamputi

    Je, upinzani ukifa ikabaki CCM peke yake kuna faida gani?

    Kwa hyo richa ya kutokuwepo na upinzani nchini china bado hamna nyumba za nyasi na dhana ya jumla ya umaskini ni ndg kulinganisha na kwetu. Hivyo huenda kwetu upinzani ni chanzo cha matatizo yetu na umaskini bora tubaki kama china
  9. Pamputi

    Je, upinzani ukifa ikabaki CCM peke yake kuna faida gani?

    Hv mpinzani wa CPC ya china ni nani vile ??
  10. Pamputi

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Kwani ile katiba waliyoisusiaga ilikuaga na shida gani ?? Tuanzie hapo
  11. Pamputi

    Lema: Mh Rais, kwenye Uchaguzi wa Madiwani tumeshuhudia nguvu ya dola, siamini kama ni Tanzania kwa Uchaguzi wa aina hii

    Lema umefanya nn cha maana Arusha kwa mihula yako hii miwili Tuanzie hapo
  12. Pamputi

    Ni kweli mna sababu ya kulalamika lakini pia mnawajibu wa kujibia haya.

    Uchaguzi wa marudio umefanyika ukiwa ni uchaguzi mdogo wa pili kufanyika tangu serikali hii iingie madarakani huku matokeo yakiwa ni yaleyale yenye kuacha maumivu makali kwa wapinzani na kutoa picha ya hali itavyokua 2020 Lawama na kelele ni nyingi toka upande shindwa kwa chaguzi zote mbili za...
Back
Top Bottom