Recent content by Pamoja tunaweza

  1. Pamoja tunaweza

    Napataje laini za Lipa kwa M-Pesa au Tigo Pesa?

    Vigezo Ni kuwa na copy ya tin,leseni ya biashara na kitambulisho Cha taifa au Cha mpiga kura, namba ya nida na namba ya laini mpya na isiwezeshwe mpesa .
  2. Pamoja tunaweza

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

    Naiusia nafsi yangu pamoja na kuwausia ndugu zangu katika kujitahidi juu ya hili. Duniani tunapita na makazi yetu ni akhera hivyo tujitahidi katika njia ambazo zitatufikisha. Hakika utukufu ni kutafuta radhi za Allaah kwa kujikurubisha katika ibada zake hasa hizi ambazo si wengi wanazifanya...
  3. Pamoja tunaweza

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango...
Back
Top Bottom