Hizo ni siasa za kinafiki
Kiongozi bora ni yle anae gombea na wengne ili aweze kuangaliwa na kuchaguliwa na wajumbe husika, hasa kwa ubora wake, umahili wake na sera zake zenye tija ya kuikomboa jamii kwa ujumla. Tuweni makini ma comred
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.