Recent content by PAM-Beesly

  1. P

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

    NSSF ndo kabisa! Hawa sijui hua wanatangaza wapi ?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

    [emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka kifala!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tiba ya miguu kuuma

    Una umri gani mkuu? Uzito wako je? Unatumia pombe na nyama nyekundu sana? Unaweza kwenda cheki level za Uric acid hospitalini Kama Zika juu inaweza ikawa sababu Ila Jibu maswali hapo juu kwa Masada zaidi..
  4. P

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Pole sana mkuu, jaribu tena next time …usikate tamaa!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Jiandae kisaikolojia TAMISEMI kumwaga majina ya Walimu na Afya Juni 24, 2022

    Poleni sana wote mliokosa…hongereni mliopata mkawe watumishi bora wa serekali. Tamisemi ni kugumu, mkawe wavumilivu!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Jiandae kisaikolojia TAMISEMI kumwaga majina ya Walimu na Afya Juni 24, 2022

    Kitengo cha IT Tamisemi kiko hovyo sana.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Jiandae kisaikolojia TAMISEMI kumwaga majina ya Walimu na Afya Juni 24, 2022

    Mbona Kama ni zoom hapo anafanya video comference..
  8. P

    JamiiForums Tanzania Jiandae kisaikolojia TAMISEMI kumwaga majina ya Walimu na Afya Juni 24, 2022

    Ni mda sasa moderator aziongonishe hizi thread zimeshakua nyingi..
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    Anatoa taarifa kuhusu mradi, Ajira hua zinatangazwa na mtendaji mkuu wa wizara ambae ni katibu mkuu…prof. Shemdoe Tuwe wavumilivu [emoji3] zitatangazwa kesho!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Jiandae kisaikolojia TAMISEMI kumwaga majina ya Walimu na Afya Juni 24, 2022

    Mkuu siku hizi kuna ndege! Amkaa naona bado upo medieval times …
Back
Top Bottom