Recent content by PalePale

  1. P

    JamiiForums Tanzania Vifaranga kufia ndani ya yai katika siku za hatching

    size ndogo kabisa ni ya mayai mangapi na ni kiasi gani? warrant, maintenance ?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Namna mtaji wa 300,000 (mia tatu elfu/laki tatu) unavoweza kukutoa kimasomaso katika ufugaji

    Kuku mia mbili wanakaa kwenye chumba cha ukubwa gani? inategemea na ukubwa na umri wa kuku, na assume unaulizia kuku mkubwa wa miezi 6. kama aina ya kuku wako sio kenbro au kuroiler, waitaji 1.7sqft kwa kila kuku. ila kama ni hao niliowataja, 2sqft ni lazima ili kuwapa mazingira chanya ya...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Namna mtaji wa 300,000 (mia tatu elfu/laki tatu) unavoweza kukutoa kimasomaso katika ufugaji

    asante mkuu, ila tu expectation za hiyo nakala ziko juu sana mfano "Hapa kuku hawa 10 watakupa wastani Wa Mayai 8 kwa siku ambapo kwa mwezi ni Mayai 240" ijulikane tu kwamba kiukweli kabisa, kuku wa kienyeji, awe kroiler au Improved kienyeji, expectation nzuri ni mayai 15 kwa mwezi. hivyo kuku...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    kaka Martin, Mimi Najaribu kupata mtu yeyote anaepractice hii hapa dar es salaam, anishauri jinsi anovyo kabiliana na joto la nov-march. natamani kujua cost effective way ya kujenga the Hydroponic fodder Unit na kupata trays
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Ndugu, mimi naomba yeyote aliejenga kile ki "temperature controlled room" for hydroponics anishauri contact za watu wanaoweza kunijengea na kuniuzia zile photo-chemically treated trays. my email is moses.palela@gmail.com
Back
Top Bottom