Recent content by pakistan

  1. P

    JamiiForums Ada kuongezeka kwa wanafunzi wanaosoma shule za Alliance zilizopo Mwanza pamoja na kunyimwa likizo

    Ndio bora kufunga wiki mbili au moja kuliko kutokufunga kabisa
  2. P

    JamiiForums Ada kuongezeka kwa wanafunzi wanaosoma shule za Alliance zilizopo Mwanza pamoja na kunyimwa likizo

    Shida sio hiyo shida ni kuwakatalia watoto wadogo sana wasiende likizo na wakilazimisha malipo yasiyo na maana
  3. P

    JamiiForums Ada kuongezeka kwa wanafunzi wanaosoma shule za Alliance zilizopo Mwanza pamoja na kunyimwa likizo

    Likizo ni muhimu zaidi hasa kwa watoto wa boarding ili utambue yanayoendelea kipindi haupo mana sizani ata kama wewe kipindi uko la saba ulikaa mieZ kumi bila kwenda likizo ata ya siku mbili
  4. P

    JamiiForums Ada kuongezeka kwa wanafunzi wanaosoma shule za Alliance zilizopo Mwanza pamoja na kunyimwa likizo

    Ndugu wananchi wenzangu mliopo mwanza au nje ya mwanza mnaosomesha watoto wenu katika shule ya alliance iliopo maeneo ya mahina mkoani mwanza.Kumekuwepo na mtindo wa shule hii kunyima wanafunzi likizo kwa kusingizia wanawasomesha tuition na kudai ela za tuition ambazo zinaanzia laki mbili hadi...
Back
Top Bottom