Recent content by Painlife in Tanzania

  1. P

    Rasimu ya katiba mpya imeruhusu ndoa za jinsia moja?

    Nashukuru kwa mchango chanya ni kweli kabisa baada ya katiba kupita kuna sheiria nyingi pia zitafanyiwa maerekebisho. Naamini kuwa sheria ya ndoa hata kama itakuwa na marekebisho lakini haiwezi kuruhusu ndoa ya jinsia moja.. Unajua sheria mara nyingi inaweza kuwa na maana zaidi ya moja...
  2. P

    Katiba iwe ya Wananchi sio ya viongozi!

    Dr Kitila ni sawa viongozi nao ni wananchi lakini kumbuka mwamba ngozi huvutia kwake. Ukiwa Kiongozi unajua na kesho utakuwa Kiongozi au mwanao, ndugu yako naye atakuwa kiongozi siku moja hivyo Katiba inapoonekana inakuwa na uongozi mpana ni lazima wananchi wa kipato haswa kile cha chini wahoji...
  3. P

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Ukweli hapa umenigusa kuwa na serikali tatu kwanza ni kurahisisha mpasuko wa kutengana na hii serikali ya muungano itakuwa na kazi ipi hasa, ndani jamhuri moja kuwa na Maraisi watatu nikuzidi kuwanyonya watanzania ambao maisha yao kwa asilimia kubwa hayana mwelekeo kwani hapa naona ni namna ya...
  4. P

    Rasimu ya katiba mpya imeruhusu ndoa za jinsia moja?

    Nadhani tunatakiwa sheria mbadala kwa watu wa namna hii kuwatenga na jamii na kuwanyima haki ya usawa kwa kudhalilisha utu wetu labda tutaweza kulifuta. Ndoa haiwezi kuzungumziwa kwenye katiba kwani tuna law of marriage inayopinga hili hata kubadili jinsia hairuhusiwi,usimamiaji naona umewekwa...
  5. P

    Rasimu ya katiba mpya imeruhusu ndoa za jinsia moja?

    Kwanza napenda kuwa mmoja wa wanajamii forum katika kuchangia mawazo katika kuendeleza jukwaa zima la kuelimishana ama kukosoana katika kujenga jamii inayojielewa. Ni vyema tunapoangalia suala hili la ndoa ya jinsia moja tukaliangalia kwa upana, serikali ki ukweli haina dini na pia inatoa uhuru...
Back
Top Bottom