Mkuu fazil asante sana kwa ushauri ubarikiwe sana sana kiukweli asante narudia japo nimechelewa kujibu Mungu akubariki sana nimesoma maelezo yako yamenibariki na kunitia nguvu upya ubarikwe sana.
Elimu ninayo mkuu ila mambo yamekwama tu kujiari si ndo hivyo nimeenda hadi huko kulima nimekuambia kilichotokea au hujaelewa? wewe kama unamsaada saidia sio kuanza majungu
Wakuu heshima kwenu! Naomba niende moja kwa moja kwenye maada kwa yeyote anayeweza nisaidia Ustadhi (Shekhee) ambaye atanisaidia kunifanyia dua kwa ajili mambo yangu sababu mambo kibao yamekwama wakuu yani kila ninalofanya linaenda likifika mbele linagonga mwamba sio ajira sio nini kiujulma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.