Acha kutudhalilisha ,sisi ndo tumefanya ujue kuandika huu upuuzi uliouandika,mbona hamsemi waandishi wa habari ambao hata akiwa na D 2 anaenda kusoma chuo na akishika kalamu ndo anakuwa kama wewe, waliopanga grade za kusoma ualimu ni wasomi wenye viwango vikubwa vya elimu kuzidi wewe,kuwa...