Recent content by P.V.Y.

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kutumia Viagra

    acha uongo yuko post nyingine na anaeleza maneno ambayoalaimbiwa na jamaa ake ambayo hatayasahau
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    duh! Pole sana. Had saiv uponae?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kutumia Viagra

    we someka kama unashindwa dili tulichangamkie watu tuna uchu wa miaka hatujagonga mzigo.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa aina gani unawafanya watumishi wa MUNGU kuwa wazinzi?

    Duh! Kata pua uunge wajihi. Heri lawama kuliko fedheha. Je, angekua mama yako unge fanyaje...? That is wise.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

    Haswaa.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

    Simuamini. Nimsocial (ame Interact Nawanajamii Sana)
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

    Sio Vyote Viliwavyo Lazima Uvile.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

    Huyu Rafiki Yuko Social Sana. Kumuuliza Anasema Kuwa Mi Sio Wa Kwanza Kufanyiwa Hivo. Akaniambia Mtu Aliyemfanyia Huo Ufuska. Bahat Alkua Ni Rafki Angu.Kumpandia Hewan Anasema" Nlivoskia 2 Saut Yake Nkakata Sm" Hivyo Inaoyesh Ana Experience.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

    Baada Ya Hapo Nikapanda Hewan. Kupokea To Naskia Saut Yake Nkamuulz Naongea Nanan Akasema Jina Huyo Dem Wakat, Sauti Sio Yenyewe. Na Nkawauliza Rafki Zangu Wenye Namba Za Huyu Rafiki Zikawa Zimematch Exactly. Wenye Wakakubal Kuwa Ni Uhun Nimefanyiwa.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

    Ndio Mtu Wang Mbona Sjakupata Una Maana Gan?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

    Hata Kama Mi Sina Willing Nae Iweje Afanye Ivo?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

    Basi Jamani, Kuna Dem Nlikua Namfukuzia Ila Akakataa Kunipa No. Za sim, Nikamuomba Rafiki Yake(wakike Ambaye Pia Ni Rafiki Angu) Anipatie Zile No. Chakushangaza Ananipa No. Zake, Je Ana Maana Gan?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa zamani wanachangia sana kuvunjika kwa ndoa

    Having Only One Partiner Is Only A Solution.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Tamaa za wanaume.

    vita gan?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tamaa za wanaume.

    Heheya!! Michepuo Imezidi Sana. Kwa Wanaume Wengi Huwa Wanatamani Kuwa Na WanaWake Wengi Kwa Sababu Ya Kuangalia Maumbile Yao Kama Vile Sehemu Za Makalioni Na Kufurahishwa Na Jinsi Wanavyotembea. Kwa Ujumla Wanaangalia Maumbile. Au Mnasemaje Wenzagu?
Back
Top Bottom