Recent content by P madam

  1. P madam

    SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    Story nzuri lakini uandishi mbovu.Mwandishi anaharibu kiswahili.Inakata stimu
  2. P madam

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Ukianza kusoma hii kitu, ,mpaka kazi haziendi dooh, , , big up E T
  3. P madam

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Kabisa yan..nataman hako kasehemu..tena ajipeleke yeye mwenyew kwenye mnyaduo
  4. P madam

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Mnh basi me sio type yako kumbe hee🤣🤣 nikae pembeni..ulete basi kamoko swetie
  5. P madam

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Tonny inaonekana anapenda sana rangi nyeupe,mawowo na wamama maana story zake zote nilizosoma hazikosi hivi vitu...by the way i love you tonny,,,mmmmwah
  6. P madam

    Dream League Soccer Special Thread

    guys mambo zenu..me mgeni wa hili gemu hakuna pa kulichezea offline kabla sijakua mzoefu..ninalo kny sim tayari
  7. P madam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    47B5812 BDDEFAD 17B426D Tireni za betpawa
  8. P madam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    werder bremen mafi ya mbusi kabisa
  9. P madam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Habari zenu wakuu,,sorry naombeni majina ya movies za drama kama empress ki na dong yi zenye stori muria
  10. P madam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani ndugu zangu...Hii mechi y Fenerbache vs Galatasary mbona me kwangu naona 0-0 full time,,hii result ya 1-1 imetoka wapi..
  11. P madam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    vipigo ni kote kote tu mkuu ..labda ukaotee
  12. P madam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    siku ya leo watakaofika salama watafika wamechoka ndembendembe..me nashuka apa kona maana bakora zimenitosha,,,li mwarabu flan jinga ivi sijui ndo litawooni linaitwa,,yaana first half limeliwa 3...kaah salamaleko bettng 🤣🤣
  13. P madam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    usijali ni ndugu yetu tumemsaidia kwa leo ataelewa taratii
  14. P madam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haya wale wa bibie buswagg. Tip 1 EC94C2D Tip 2 94A9EF7 betpawa
Back
Top Bottom