Recent content by Ozone star

  1. Ozone star

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Think and grow rich by Napoleon Hill. Soma na fuata zile kanuni uone!.
  2. Ozone star

    Mambo 5 ya kufanya ukiwa umechoka kila kitu

    Jamaa ameingia kidini zaidi wakati hii ni free mind,. at all nimekuelewa rakims. ukitaka kujua ukweli wa mambo mengi usiegemee dini yeyote.
  3. Ozone star

    Hii imekaaje kuhusu tathmini ya uharibifu wa shamba baada ya mifugo kuharibu shamba?

    Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
  4. Ozone star

    Shamba linauzwa

    Sio jazba mkuu ni kawaida tu. Nahitaji sana hilo eneo la laki7.
  5. Ozone star

    Shamba linauzwa

    Sasa hiyo heka moja niliyouza nimeuzaje rafiki?. kama una heka kwala hapa centre njoo uniuzie mkuu nikupe laki7 fasta mkuu.
  6. Ozone star

    Shamba linauzwa

    Atakaehitaji kukatiwa atakatiwa, na hadi sasa hekari moja ishauzwa bado moja na hiyo hekari moja inauzwa 4.5m.
  7. Ozone star

    Shamba linauzwa

    Ungesema weka bei, sio unaongea utumbo wa bata mkuu!. Sijakulazimisha bhana, kama hujapenda pita zako.
  8. Ozone star

    Shamba linauzwa

    Shamba la hekari 2 linauzwa linapatikana kunakojengwa bandari kavu na reli ya mwendokasi (KWALA). njoo ujipatie umiliki wa ardhi na uendane na ukuaji wa kasi hapa kwala wilaya ya Kibaha. kwa maelezo pga Namba ni 0786098500 au 0687318476
Back
Top Bottom