Hii ni hatari sana .Mimi nadhani watu wanauchukulia ukimwi kama mafua , wanahitaji elimu nyingi kuhusu madhara ya ukimwi kwenye mifumo ya mwili wakiyaelewa wataugopa tu.... mfano magonjwa kama kisukari na mengine mengi yanakuwa yamewezeshwa kutokea kwenye mwili kwa haraka Zaidi.
Vikwazo vinajulikana kabisa ,mtu anapooa mwanamke wa ughaibuini au kuolewa na mwanaume wa ughaibuni , uhusiano na ndugu(watanzania wa jamaa) hauwi na nguzu kwa sababu ya lugha, utamaduni wakati mwingine Imani, vilele tuanche Imani potofu kwamba kila aliye nje ametoka kimaisha wengine wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.