Simba pale bunju wana kapeti nzuri tu ni swala la kusimika tu hata jukwaa la mabua nimeuangalia uwanja wa Jkt na huo wa kino boys tofauti na ule wa bunju ni mafundi welding kuingia mzigoni😂😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.