Nenda BRELA utatuma splication latter kuhusu campuniyako.wakikucomferm utasmbiwa ulipie pia utaambiwa usndike memorandum, hii inahusu jina la kampuni,objectives,capital you have,location of the campany namengineyo. Utasubmit then utakipia vitu vingine paka usajili utakamilika. Note mamboyote ya...
Abortion in Tanzania is illegal. Soma kifungu namba 219 cha penal code rev2002. Kimetafsiri. Kuwa kutoa mimba kuanzia 0-28weeks ni abortion lakini kuanzia 28 weeks kuendelea ni child destruction. Pia mtu yeyote atakaye shauri, kusaidia,au kutoa atahukumiwa kosa la kufungwa maisha section 219(1)...
Kilakitu kinaendana na sheria inavyosema. Japo ibara ya 14 ya katiba ya 1977 marekebisho ya 2008 kinampa mtu haki ys kuishi lakini Ibara ya 15(1)b ya URTC kinasema kamamtu atafanya kosa linalopelekea oda ya mtuhuyo kutolewa na maakama kua anyongwe bac haki ya mtuhuyo kuish itaondoka.Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.