Huyu alitabiri ili ccm ibaki salama ni lazima lowasa na membe wakatwe ikawa hivyo na upinzani akawbeza Dr na leprofsa akaomba aje MTU ccm ili washinde sasa kinachomtatiza alidhani atakuja ngeleja au duwani badala yake likaja buludoza mashine ya uhakika ndio maana amepata presha
Ningeshangaa sana kama lipumba angefika oct25 na ukawa maana hawa ndio mafisadi wa demokrasia Tanzania ameona znzbar wako serous this time na bara watu wapo kazin wakimaanisha ukombozi kabanwa kwelikweli kwanza asingekuja lowasa angekuwa kaleta fujo ukawa siku nyingi wamezoea kula hela za...
Huna sababu mbele za wanadamu,na Mungu we we dada shonza za kumlaumu lowasa hata we we ni msaliti ,na elewa maisha ni popote maadamu tu ni mpiganaji we we ulihama chadema ukaenda ccm maana chadema hakuwa mama yako au baba yako kama ambavyo ccm sio baba wala mama wa mwacm yeyote we ulienda ccm na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.