Recent content by ott tanzania

  1. ott tanzania

    JamiiForums Tanzania Kisheria tunapaswa kulipia vingamuzi kwa local chennel?

    Typing error wakuu turudi kwenye mada
  2. ott tanzania

    JamiiForums Tanzania Kisheria tunapaswa kulipia vingamuzi kwa local chennel?

    Watanzania wengi tunakosa uhuru wa habari kutokana na gharama kubwa ya kulipia vingamuzi tangu ujio wa digitali. Tunavinunua kwa ela nyingi, lakini pia vituo vyetu vya television vinalipa kodi apa apa nchini kutokana na mapato ya ndani. Kwa TBC1, TBC2, ITV EATV, Clouds TV, STAR TV kwanini...
  3. ott tanzania

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando na Zitto Kabwe wajibizana kuhusu mafao ya wastaafu kukatwa kodi

    Nitoe taarifa kwanza msizozifahamu kuusu wastaafu. Asilimia 9 inayokatwa kwenye mshahara sasa, ukiongeza asilimia nyingine ikikatwa kwenye kiinua mgongo, ni sawa na kwamba anakatwa asilimia 18 kwenye mshahara wake. nafikiri apa mfanyakazi atakuwa anafuraia mshahara wake kwenye salary slip bila...
Back
Top Bottom