Kama alikuwa mwizi na fisadi wa ukweli na ndo kilichomfanya abaniwe na ma ccm kwann wamuweke kizuizin???? Kwa hali hii inanionesha mimi kuwa kuna kitu huyu mzee anajua na yawezekana akaitikisa serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.