Tatizo la viongozi wetu mara ya kwanza nilisika ferry zote zitoke hapo lakini mkombozi akakimbia yeye akapenyeza pesa kwa wakuu wetu ndio maana yupo na wanaona yanayoendelea na hakuna hatua inayochukuliwa
Kwa hiki kinachoendelea katika kupisha mradi wa Reli ya kisasa SGR kufika Bandarini ya Mwanza kinasikitisha sana Mmiliki wa Kivuko cha Kamanga Ferry kujinasibu kuwa serikali imewekwa mfukoni mwake na hatapisha mradi bali Mradi wa Reli Umpishe yeye
Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule...
Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa.
Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji.
Kwa wasafiri wa kivuko cha KAMANAGA FERRY kutoka Mwanza Kamanga na Sengerema tunatabika sana hiloeneo ni barabarani watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.