Recent content by Otas Theliberal

  1. O

    Mgomo UDSM, Mabibo hostel

    Hebu tuangalie hili tukio halafu tulinganishe, mnamo 2010 nikiwa mwaka wangu 2 chuo, na kipindi mandela road inajengwa nikiwa naishi mabibo hostel yalifululiza matukio ya kugongwa na magari pamoja na picpic kwa wanahostel wa mabibo...pale mavuko ya hostel na lunch time...kitendo hcho tulikaa...
  2. O

    Mgomo UDSM, Mabibo hostel

    Vijana wengi wengi tunagoma bila kufanya uchunguzi wa chanzo cha tatzo...hv kama wangehusisha uongozi wa wanachuo DARUSO wakafika makao makuu TANESCO wakafahamu tatzo na kujua hatua za kuchukua kungeharibika jambo? Halafu vijana wengne anagoma kwa mkumbo akiulizwa hana hata hoja za...
  3. O

    Kwa Nini RADI haipigi mijini?

    Ahsante kwa utafiti wako tripo9
Back
Top Bottom