Recent content by Ostrich eggs

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Wabunge wasio na Chama yaendelea tena leo, Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama Wahudhuria

    Dalili za mvurugiko wa afya ya akili
  2. O

    JamiiForums Tanzania Pareso: Simjui aliyependekeza niwe Mbunge

    Yaonekana alisomewa
  3. O

    JamiiForums Tanzania Pareso: Simjui aliyependekeza niwe Mbunge

    Pole sana, utaugua bure. Wao wanasema hawakuomba wala hawakujaza form za kuteuliwa.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Inawezekana CHADEMA hawajui wanachokitaka

    Hata uundaji wa hicho kikosi kazi ulikuwa feki, vichekesho, ungekuwa mkweli tungekusikia. Hebu tuache basi kuchezea taifa letu.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Inawezekana CHADEMA hawajui wanachokitaka

    Ndugu yangu, Ulichoandika wewe na hiyo makala ni NYIMBO zile zile za akina Ndugai, Kabudi etc walipokuwa wanahanjahanja kusaka na kulinda kula zao. Kwao maisha ni kufaidi na "Ukitaka kufaidi jipendekeze" Ndio Tanzania ilipofikia,na ndio LEGACY ya mwndazake. Nchi inapokwenda kombo ukanyamazia...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

    Ibada zenu zinaongozwa na njaa munazoendekeza. Kupinga au kutofautiana mitazamo, hoja katika maisha ndio uhalisia na sio kosa. Kama hujui ndio demokrasia ya kweli.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

    Bado ni wakati sahihi, mpandilizi na msalia yake yapo. Taifa lahitaji kusafishwa.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga

    Mliamini, aliamini atadumu milele. Akasahau na kuwa kuna Mungu wa haki.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga

    Cecil Mwambe alijiuzulu mwenyewe kutoka CHADEMA lakini akabakizwa bungeni akiwa CCM. Mtakujalipa tu
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama imemuachia huru Gerald Mwakitalu (CHADEMA). Alifungwa maisha

    Bado yapo masalia yake mengi tu yanayoamini na kuzidi kujivuna katika ukatili na uonezi wa kishetani . Bila katiba mpya yataendelea kusumbua taifa letu.
Back
Top Bottom