Mkuu; Watatwangana ok. Lakini hata ss huku bongo tutaonja joto ya jiwe - Hatutaishi kwa amani. Hebu fikiria kwa mfano wale ndg. zetu waTz (JW)waliopo pale chini ya UNIFIL (buffer zone).
Ila sasa Israel hajatamba kwamba ana kitu gani. Anasubiria H-hour (hitting hr). Ndipo atamshangaza Iran na wenzake. Ila broo; tujue na tukubaliane kwamba vita sio nzuri kabisa. Tuiepuke kila inapowezekana.
Mkuu; Usiwatweze wengine. Kwa Binadamu yoyote yule; Ni dhambi kubwa au mbaya mno (ni kosa) kumrekodi mtu yeyote akiwa mtupu - huo ni Udhalilishaji wa kiwango cha juu na uliovuka mipaka. Hairuhusiwi na Haikubaliki kabisa.
Hiyo Taarifa imetolewa na Chombo cha Habri cha Israel Maariv. Huo ni ushahidi kwamba Iran na yale mataifa mengine ya Kiarabu hapo Middle East hawana kitu ambacho Israel hakijui. Tukumbuke Neta aliwahi kusema Hakuna kilichojificha au hakijulikani na hakuna mahali popote Israel hawezi kufika ndani...
Aisee! Halafu HAMAS nao walikuwa ni maduanzi kweli. Bila hata kujiuliza mara mbili-mbili, walipoona Ayatollah anawapa mizawadi ya AK 47 nyingi, RPG, mabomu, mafunzo n.k. vichwa vikavimba wakajitumbukizamo.
Kumbe ww ni mfuatiliaji mahiri wa kile kinachoendelea huko. Sasa huo ndo mtihani alotoa Neta. Wakiufaulu, Neta amesema kwa mdomo wake vita inaweza kuisha hata kesho (sikiliza clip yake). Ni ukweli HAMAS wanaelekea ukingoni kwani wachungaji wao(Viongozi mashuhuri) wote wamepigwa(neutralised) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.