Hakuna sababu ya kuendelea na Kikao cha Bunge maalumu la katiba Kama matakwa ya wananchi kwa mujibu wa tume ya muheshiwa Jaji Warioba hayatafanyiwa kazi mtihani wote umevuja Mwenye Kaya katoa majibu ambayo yatadumu Mpaka atoke madarakani wajumbe mnangoja laki Tatu ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.