Recent content by osangobantu

  1. O

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Wanajamvi,lazima tukubali kwamba,tangu nchi hii ipate uhuru,kama CCM watampitisha Magufuli ktk nafasi yaUrais na hatimaye kushinda,ndiye atakuwa Rais Bora kuliko wote baada ya Nyerere.Hana Makundi,ana uwezo wa kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma na ni mtu pekee anayeingia kwenye...
  2. O

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Souce!! Is this source reliable? Kama ni kweli;Magufuli tosha.kama sio,Ukawa njia nyeupe pe!
  3. O

    Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

    Ana wakati mgumu,sio Rahisi kihivyo,tusubiri atakaeteuliwa na CCM,Kama ni Membe,kazi ni nyepesi,kama magufuli,kazi ni pevu.
  4. O

    Video: Wabunge wa CCM wakiimba Pambio la kumuaga Lowasa

    Ni dalili mbaya kwa CCM,kelele zote zile za kumtaka Lowasa mbele ya mwenyekiti wa taifa ni dhihaka kwa mwenyekiti wa Taifa. wana CCM wanakosea wanapolazimisha Jina la Lowasa Kuingia wenye Tano Bora,il hal Katiba ya chama iko wazi kuwa,kikao cha CC lazima kitoe majina matano. kwani ni Lazima Lowasa!
Back
Top Bottom