Tuombe uzima, kitakachosomeka kwenye katiba ni serikali kutambua uhuru wa kuabudu na si vinginevyo.
Wakikosea wakaitamka eti mahakama ya kadhi, tambua hela zetu zimetafunika bure na katiba mpya hapo ndio utakuwa mwisho wake.
NCHI HII INA WAHINDU, WAPAGANI, WABUDHA, WABAHAI, PATH, WAISLAM...