Recent content by Orions

  1. Orions

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wanataka mabadiliko? Wameichoka CCM na serikali yake!

    Wana Jamvi, Asalam Nianze na Swali; Kwanini watanzania wa leo wanahitaji mabadiliko kuliko ilivyokuwa imezoeleka?? My view:- Watanzania wanataka mabadiliko kwakuwa wamepuuzwa na chama tawala pia wamepuuzwa na serikali yao imekuwa haiwajali wakati inawahitaji kwa ali na mali!. Kuna vitu hapa...
  2. Orions

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa gazeti la Mtanzania hujaitendea haki CHADEMA

    Kwanza nafikiri nikufahamu kuwa Mtanzania inamlengo gani ukisha jua hili haliwezi kukupa tabu kwa twajua bashe ni mbia mwandamizi wa Mtanzania wakati ni mbia wa CCM hata unaosikia kurugenzi ya habari Ikulu walitokea kwenye hili gazeti kamwe haliwezi kusifia chama cha upinzani kwani ni kwa...
  3. Orions

    JamiiForums Tanzania CCT yamkosoa Rais Kikwete kwa kuharibu mchakato wa katiba

    Re: Hongera CCTV KWA kweli???
  4. Orions

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi wenyeji

    Hodi hodi naingia,kwa mbwembwe nanderemo kwenu mlotangulia,katika jukwaa lavifijo nanderemoo Sikuja kuchungulia,bali kujakumuika na wananderemo Hebu sogeeni karibu ili nione wenu ukarimu
Back
Top Bottom