Mka zzk nilitegemea ila kwa mkumbo sikuwahi kufikiri hilo.
Nilimwamini mno tangu akiongoza midahalo ya kina Shivji pale udsm.
Hizo 2m wangezilipaje? Malipo yao yasingekuwa ni kuburuzwa na MM & M1?
Mimi mwanzo nilidhani huyu jaji angekuwa mwokozi wa aibu ya wanasheria wanaopindisha sheria, kumbe alikuwa na solution
Hivi bado yuko tz au mapumzikoni nje ya nchi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.