Recent content by OptimusPrime

  1. OptimusPrime

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Hii mada ni nzuri! Inategemeana na mwanaume mwenyewe. Kwani mpaka ifike hatua ya kuoa, atakua tayari amemkubali huyo binti. Awe na elimu nzuri ama la. Suala la kuamua yupi sahihi kwa kweli lina "rest" na mwanaume mwenyewe na sidhani kama ni sawa kupima yupi ni sahihi ama la. Wanawake wenye...
  2. OptimusPrime

    JamiiForums Tanzania Habari ya Ripoti mkemia mkuu imenipotezea usingizi wangu

    Ni jambo zito ila ukweli ni kuwa mwanamke pekee ndio ajuaye baba wa mtoto ni nani. Pole kwa msongamano wa mawazo ila kama unamuamini mwenzako, usipaniki hivyo kwani jingine laweza tokea (pressure).
Back
Top Bottom