Recent content by Optimist_1

  1. O

    Suzuki Carry Inahitajika Haraka

    Nami ninayo, ina sifa zifuatazo: 4wd A/C (Kiyoyozi) Gia tano (5MT) na reverse ya 6 Ni ya mwaka 1996, Taa za square na mwonekano safi kabisa Rangi nyeupe Odometer: 68,905 km as of today 14 July 2014 Naendesha mwenyewe kwa movements za kawaida na kubebea mizigo midogomidogo, siyo kubeba mizigo...
  2. O

    Kwa Anayeuza Pikipiki Aina SUNLG

    Nimeshakutumia!
  3. O

    Kwa Anayeuza Pikipiki Aina SUNLG

    Hapana, sikuwa nazuga, wala sikukusudia nionekane hivyo na kamwe sitakaa nifanye uzugaji. Nimepata shida kuattach hizi picha kwenye JF; tangu jana nimejaribu multiple times unsuccessfully. Kama hutojali, kindly ni-PM email address yako nikutumie sasa hivi. Niwie radhi kwa yote hayo.
  4. O

    Kwa Anayeuza Pikipiki Aina SUNLG

    Picha nitakuwekea kesho kama nilivyoahidi. Niko Dar, Ubungo.
  5. O

    Dr. Kitila Mkumbo: More of the same; A comparison of the actual and political standardised results

    Dr Kitila, nakuheshimu sana na nashukuru kwa ufafanuzi wako. Tuyaache hayo maana ni siku nyingi zimepita sijatembelea uzi huu. Kuhusu hiyo article, umeshaipublish? If so congratulations and kindly send me a copy or simply a URL. Kama bado hongera pia, lakini naomba the overall message of the...
  6. O

    Kwa Anayeuza Pikipiki Aina SUNLG

    Karibu, mimi ninayo: SUNLG, 125. Niliinunua ikiwa mpya Desemba 2012, ikaanza kutembea Januari 2013 hadi Mei 2013 nilipoamua kuipaki baada ya kijana kunizingua. Iko safi sana ile kitu - picha nitaandaa nikupostie kesho. Bei yake ni nonnegotiable, Tsh 1.5m Kama una nia PM kwa mawasiliano zaidi...
  7. O

    Dr. Kitila Mkumbo: More of the same; A comparison of the actual and political standardised results

    Statistically, tofauti ya asilimia ya waliofeli mara ya kwanza na hii ya sasa baada ya standization naiwasilisha kama ifuatavyo; Idadi waliofanya mtihani, N = 397,136 (sina hakika sana na namba hii, lakini its something around it ) % waliofeli awamu ya kwanza (kabla ya ya standardization)...
  8. O

    Ushauri: Suzuki Jimmy, Terios Kid au ipi?

    Asante sana Mkuu, nimekusoma!
  9. O

    Ushauri: Suzuki Jimmy, Terios Kid au ipi?

    Amani kwenu wanaJF, Kwa wale wenye utaalamu wa magari, naomba ushauri wenu wa gari ipi ifaayo kwa kwa kuzingatia mambo yafuatayo, Matumizi - kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwa Dar es Salaam (au nje kidogo ya Dar kama Bagamoyo, Moro,Kisarawe nk) na kuzingatia hali ya barabara ambapo...
Back
Top Bottom