Ina maana hakuna maushuhuda kwenye zile pdf zote za jana, wadau?![emoji2374]
Sekretarieti ya Ajira tunawaomba muendelee kutuletea pdf za kuitwa kazini kwa wingi. Kama mnavofanya hizo za kazi. Vijana wamepoa sana aisee. Mkeke hata uwe mzito kidogo tunaomba.
Habari wanaJF,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Nina binti yangu anahitaji kazi yoyote ile. Iwe ya kufanya usafi, hata kuuza duka. Ni binti ambaye yuko sharp sana. Yupo vizuri katika kufanya mahesabu. Na mwepesi wa kufundishika.
Sifa zake:
Umri :- 28
Elimu:- Form 2
Mahali:- anaweza...
Placement zinaweza chukua 3 months. Mimi pia tumefanya mwezi wa nane, hadi leo bado hatujaitwa. Ni uvumilivu, roho ngumuu, na Kumuomba Mungu roho ya subira.
In TID’s voice “Stamina, Pumzi”
Hii ni pure psychological torture wazee. Kusubiri matokeo ambayo ni 50/50, tunajipa moyo miezi yote hio kuwa pdf inayotoka inaweza kuwa inatuhusu. Chances za pdf kutoka siku hio nazo hazijulikani. Aiii inachosha kila muda kuchungulia kitu hujui kama kitakuwepo au lah. Na hapo pdf inaweza toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.